East Coast College is looking for an accounting teacher

East Coast College is looking for an accounting teacher

mm napita tuu....ila hichi ni moja ya vile vyuo ambavyo ni wagumu kulipa walimu .....! wenye qualification zenu kaombeni....!
 
hicho chuo ni cha wahindi na ni wagumu sana kulipa simshauri mtu aapply anaweza kuingizwa chaka, napita tu wadau
 
Yes ..some one just told me wanalipa tsh 100,000 per month per kipindi...
 
wenye qualifications waapply ila mmmhh bora kufanya kazi kampuni ya mbongo kuliko muhindi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom