M
mlenge said:Barua ya Wazi kwa Rais Jakaya Kikwete
BURIANI TANZANIA ... AU KILA LA HERI AFRIKA MASHARIKI?
Na Mlenge Fanuel
"Mtu akikushauri jambo la kijinga, huku anajua jambo hilo analokushauri ni la kijinga, na wewe ukakubali, basi atakuona, wewe zuzu!"
-- Mwalimu Julius K. Nyerere, 1994/5
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tafadhali isome barua hii ya wazi ya kukufikishia ujumbe kwamba Tanzania haiko tayari kujiunga na Shirikisho la Afrika Mashariki (East African Federation, EAF) wala Soko la Pamoja la Afrika Mashariki, na kwamba Watanzania hatutaki Tanzania ijiunge na Shirikisho hilo.. Yatakuwa ni maafa makubwa kwa Tanzania na Watanzania iwapo Tanzania itajiunga na EAF hasa kwa mpangilio ulioko wa fast track. Ndiyo maana nimeanza na nukuu ya Mwalimu Nyerere, ambaye tayari baadhi ya watu, hasa wa nchi MIMI NAONA HUU NI UOGA WA KUTOINGIA HII JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI HAWA JAMAA WAKENYA WAGANDA NA WARUNDI WATATUCHEKA TUNAWAOGOPA KWANI SISI NI MBUMBUMBU KIASI GANI TUNYANG`ANYWE ARDHI? HUU NI UOGA WA KUSHINDANA TU NA HAWA JAMAA KINGEREZA KINATUPIGA CHENGA NA HAYA MAJAMAA MAKENYA MAGANDA NA MATUSI YAMESOMA SANA KULIKO MAMBUMBUMBU MENGI YA KITANZANIA. SASA UOGA UMEZIDI INATUBIDI TUJIFUE NA SISI TUHIMIZE WATOTO WETU WENGI WAINGIE SHULE, HUU MUUNGANO NI BORA UFANYIKE MAPEMA ILI KUTUWEZESHA SISI WATANZANIA KUWA NA USHINDANI KIBIASHARA NA KIELIMU PIA. KUJI ISOLATE HAKUTO TUSAIDIA KITU KWANZA TUNA EXPERIANCE KUBWA YA MUUNGANO HIVYO HAWA JAMAA WATATUTEGEMEA SANA KATIKA MAMBO MUHIMU. KIKWETE HALAKISHA HUU MUUNGANO IKIBIDI KABLA YA MWAKA UJAO TUWE NCHI MOJA...KWANZA WATU WENGI WATAFANIKIWA KUSOMA UGANDA AMA KENYA KWENYE ELIMU POA NA WENGINE KUJIFUNZA KIFARANSA NA KUWA MAKINI KATIKA BIASHARA KAMA HAYA MATUSI THEN KESHO TUNAWEZA KUICHUKUA NA SISI NCHI YA MALAWI ILIYO DOLORA KAMA SISIjirani za Kenya, Uganda na Rwanda, wameanza kumsingizia kwamba kwa kujiunga na EAF tutakuwa "tunamuenzi" Mwalimu Nyerere, huku wakijua fika ushauri wanaotupa wa kujiunga na Shirikisho na Soko la Pamoja la Afrika Mashariki hauna manufaa yoyote kwa Tanzania, wakidhania sisi Watanzania ni mazuzu tunaoendekeza wema wa mshumaa kuwaangazia wengine huku wenyewe unateketea, kwa minajil ya kupata misifa isiyo na tija.
Ni kweli Mheshimiwa Rais umeunda Tume ya Kupokea Maoni kuhusu Shirikisho la Afrika Mashariki, lakini inatia mashaka iwapo huo siyo tu ni utaratibu uliouweka kuhalalisha maamuzi yaliyokwishafikiwa ya kuidumbukiza Tanzania kwenye EAF. Hii inatokana na muonekano kwamba Tanzania kujiunga na EAF kumeshaamuliwa tayari -- kutaka watu tujadili siyo kiinimacho tu? Mheshimiwa Rais, palikuwa na muswada uliopelekwa Bungeni wa Tanzania kujiunga na EAF, ambao Waheshimiwa Wabunge waliukataa, na serikali ikabidi iuondoe. Lakini mchakato wa Tanzania kujiunga na EAF ukaendelea tu, na kupuuza maoni ya Wabunge wetu tuliowachagua watuwakilishe. Ikiwa sikusikiliza vibaya, katika Bunge la Bajeti 2006/2007, Mheshimiwa Waziri wa Afrika Mashariki aliliambia Bunge kwamba patakuwa na KURA YA MAONI kuhusu Afrika Mashariki. Matokeo yake tumeletewa Tume badala ya kura ya maoni! Kana kwamba hiyo haitoshi, iliripotiwa kwenye vyombo vya habari kuwa wewe Mheshimiwa Rais wetu, ulimhakikishia Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwamba utafanya kila unaloweza kuhakikisha kufanikiwa kwa Shirikisho la Afrika Mashariki, kwenye mkutano wenu uliofanyika Mwanza. Je, maoni tunayotoa Watanzania kukataa kujiunga na shirikisho si "kilio cha samaki -- machozi yanakwenda na maji?" Wenyewe "wenye nchi" mshaamua mloamua?
Pana maswali mengi mheshimiwa Rais ambayo ukitupatia majibu utakuwa umetuwezesha Watanzania tulio wengi kuelewa kuhusu mustakabala wa maisha yetu na Tanzania yetu:
* Je, Ni sera ya CCM Tanzania kujiunga na EAF au Soko la Pamoja la Afrika Mashariki?
* Je, Ilikuwa kwenye ilani ya Uchaguzi 2005 ya Chama Tawala CCM Tanzania kujiunga na EAF?
* Je, Nani aliyependekeza Tanzania ijiunge na EAF? (Inabidi tumfahamu ili tuweze kumpamba maua iwapo Tanzania itafanya tunalodhani ni kosa la maisha la kujiunga EAF kumbe ikathibitika EAF ni manufaa tele kwa Tanzania ; vinginevyo inabidi tumfahamu ili tuweze kumzomea na kumuimbia nyimbo za kumsimanga pindi machungu ya EAF yatakapoanza kudhihirika muda si muda iwapo Tanzania itafanya kosa la maisha kujitumbukiza kwenye EAF. Vinginevyo itakuwa kama mikataba ya madini -- hatuelezwi nani aliwaalika na kuingia mikataba na 'wawekezaji' kwenye migodi.)
* Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameshajitangaza kuwa Rais wa Kwanza wa Shirikisho la Afrika Mashariki -- ikiwa na maana yote mengine yanayojitokeza sasa ni kuhalalisha na kusafisha njia ya Museveni kuwa Rais wa Kwanza wa Shirikisho la Afrika Mashariki, hasa ukitilia maanani Rais wa Kenya na wewe Rais wetu mko kimya, ikielekea mmekubaliana na matamshi ya Museveni. Si hivyo?
* Kutokana na maneno yanayosemwa na Wakenya na Waganda, Wanyarwanda na Warundi, inaonekana kama vile serikali ya Tanzania HAINA UBAVU wa kusema HAPANA kwa EAF -- kila mara Tanzania inazomewa inapohoji maslahi yake kwenye EAF -- au inapotaka kutumia uhuru wake ISIJIUNGE na EAF. Hivi karibuni Waziri wa Afrika Mashariki wa Tanzania alisemwa kwenye vyombo vya habari kwamba hahudhurii vikao vya Afrika Mashariki -- na kumfanya Mheshimiwa Waziri Mkuu ajitokeze kumtetea -- na baadaye Waziri yule akaondoshwa toka Wizara ya Afrika Mashariki kwenye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri uliyoyafanya hivi karibuni Mheshimiwa Rais. Ina maana Tanzania ni kama mbwa anayeelekea kwenye mdomo wa chatu EAF -- amefyata mkia, anatoa kilio cha mwisho, na hana la kufanya zaidi ya kufanywa asusa na kumezwa -- au si hivyo?
* Ni kwa nini Kiswahili SIYO lugha rasmi EAC, na badala yake ni kiingereza?
* Kama shida ni ushirikiano, kwa nini Tanzania isijiunge na Msumbiji na Zambia , na kutengeneza shirikisho?
* Kwa nini EAF inaharakishwa namna hii?
* Ni nini Tanzania inahitaji kwenye EAF ambacho haiwezi kukipata bila kuwemo kwenye shirikisho hilo ? (Mbali na ngonjera za kisiasa, pengine na watu fulani kupata posho za vikao vya EAC na baadhi kuandikwa kwenye vitabu vya historia, vitu ambavyo havimsaidii Mtanzania mpiga kura wako anayesubiri neema tele na maisha bora...)
* Pana bidhaa zipi za Tanzania hazifiki kwenye soko Kenya au Uganda , ambazo EAF itazifanya zifike sokoni?
* Nani atakuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Afrika Mashariki, na ni upi mchango wa EAF kwenye uvamizi dhidi ya DRC?
* Mheshimiwa Rais, hivi "Usalama wa Taifa" wa Tanzania una majukumu gani makubwa zaidi ya kulinda (uhuru) "Sovereignty" ya nchi yetu? Kwa nini "Usalama wa Taifa" haukupi picha kamili ambayo itakufanya usijisumbue hata kuja kutuuliza iwapo tunataka uhuru wa nchi yetu uondoke kupitia "soko la pamoja" na "Shirikisho la Afrika Mashariki", badala yake tukaendelea kulijenga taifa "letu changa" na kuulizana maswala ya maendeleo kama vile tutanufaikaje na maliasili tulizojaaliwa nchini m

MIMI NAONA HUU NI UOGA WA KUTOINGIA HII JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI HAWA JAMAA WAKENYA WAGANDA NA WARUNDI WATATUCHEKA TUNAWAOGOPA KWANI SISI NI MBUMBUMBU KIASI GANI TUNYANG`ANYWE ARDHI? HUU NI UOGA WA KUSHINDANA TU NA HAWA JAMAA KINGEREZA KINATUPIGA CHENGA NA HAYA MAJAMAA MAKENYA MAGANDA NA MATUSI YAMESOMA SANA KULIKO MAMBUMBUMBU MENGI YA KITANZANIA. SASA UOGA UMEZIDI INATUBIDI TUJIFUE NA SISI TUHIMIZE WATOTO WETU WENGI WAINGIE SHULE, HUU MUUNGANO NI BORA UFANYIKE MAPEMA ILI KUTUWEZESHA SISI WATANZANIA KUWA NA USHINDANI KIBIASHARA NA KIELIMU PIA. KUJI ISOLATE HAKUTO TUSAIDIA KITU KWANZA TUNA EXPERIANCE KUBWA YA MUUNGANO HIVYO HAWA JAMAA WATATUTEGEMEA SANA KATIKA MAMBO MUHIMU. KIKWETE HALAKISHA HUU MUUNGANO IKIBIDI KABLA YA MWAKA UJAO TUWE NCHI MOJA...KWANZA WATU WENGI WATAFANIKIWA KUSOMA UGANDA AMA KENYA KWENYE ELIMU POA NA WENGINE KUJIFUNZA KIFARANSA NA KUWA MAKINI KATIKA BIASHARA KAMA HAYA MATUSI THEN KESHO TUNAWEZA KUICHUKUA NA SISI NCHI YA MALAWI ILIYO DOLORA KAMA SISI
Kokuikana said:Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mimi ni Mtanzania ila ninasikitika sana unapotaka kuingiza Tanzania kwenye huo muungano. Sisi hatutaki kwanza Wakenya wabinafsi ile mbaya, HATUTAKI MUUNGANO WA EAST AFRICA WALA RWANDA WALA BURUNDI HATUTAKI.
Unregistered said:Kwanza mimi niseme wazi kuwa ni Mbunge. Msimamo wangu nilikuweka wazi katika hotuba yangu Bungeni kuhusu na suala hili.
Burundi na Rwanda ziingie JAM mapema iwezekanavyo. Nchi hizi kuwa katika familia ya Afrika Mashariki itasaidia sana ku'stabilize' amani. Hii ndio nia kubwa. Amani katika nchi hizi itadumu iwapo nchi hizi zipo ndani ya Jumuiya. Itakuwa ni rahisi kwa Kenya, Uganda na Tanzania kufuatilia kwa karibu masuala ya Demokrasia na haki za binaadamu katika nchi hizi kama sehemu ya peer review.
Pili, kuna suala la kiuchumi. Nchi hizi zina watu. Watu wanatumia bidhaa mbalimbali. Bidhaa nyingi zinatoka Tanzania, Kenya na Uganda. Hivyo nchi ni soko la bidhaa zetu. Tukiingiza Rwanda na burundi katika JAM tunakuwa tumeongeza wateja milioni kumi na tano katika soko.
Kuna watu wanasema eti, kujiunga kwa nchi hizi kutaleta vita. Huu ni upuuzi. Hebu tuangalie, Uganda kuna vita ya LRA, je katika miaka hii ya JAM vita hii ya Kony imeingia Tanzania?
DRC ni mwananchama wa SADC, Tanzania ni mwanachama wa SADC, DRC walikuwa wakipigana na mpaka sasa kuna mapigano. Je, vita hii imeingia Tanzania au Afrika Kusini?
Burundi na Rwanda, kijiografia ni sehemu ya JAM. Kama tunakumbuka Historia, nchi hizi zilikuwa ni sehemu ya Wilaya 14 za Tanganyika (DeutchOstafrika). Hawa ni wenzetu, na waje!
Zitto Kabwe
wOrM said:And now you're double posting Mr. Unregistered. It's not like we do not know you Kenyans.
We do know you for sure! You're proud always. You can even check what you've done above. If you speak Swahili like Tanzanians let's exchange our views in this lingo. Otherwise you're judging Ugandans wrongly.
I appreciate Kenya's efforts but we have a problem with YOU Kenyans. You may ask why but before doing so, ask yourself WHY not Ugandans being discussed that much. Therefore you can come out with something.
We have all rights to raise our doubts before we UNITE again. Tunataka kujua nini faida ya kuungana na watu kama ninyi ambao mwatuona hatuna maana na kujiona mko wa thamani zaidi.
These are just OPINIONS and not from the Govt of Tanzania! Just few online Citizens and almost JUST views. Someone who's doubting need explanations on wht he/she's doubting. Muhimu ni you come with your comments and if you're a ndugu then jibu as a ndugu not as a stranger mate! Hope umenielewa kwa hii SIMPO kiingereza niliyotumia ili ieleweke bayana kwako.
Thanks and YOU'RE WELCOME TO THIS BOARD. These are just views from us who are online and using this board and not the Administrators or Moderators as you said who are deleting your postings. If such a thing happened probably you might have used a bad lingo.
MacDonald Masatu Maganga said:The Editor,
To be precise and logical, this article is more than impressive! Former East African Unity died but in reality many do not know the cause of the death! I have been tipped that the flourishing Kenya Airways was formed with a strong capital from the dead East African Airways; Uganda took all the finances because the East African Development bank was situated in Kampala! Anyway, I support the whole idea of re-uniting but wanachi need to be well informed about it, we need a referendum! We dont want to regret in future. Idea of chopping in Rwanda and Burundi is generally disastrous because those countries have never enjoyed political stability and they have the cause of illegal fiream spread!We dont mind the timing , whether it takes years to come to consensus, we will rather wait ! We are not ready to witness our country losing all it has simply because we like unity. Let's all wake up guys ...our counterparts Kenya and Uganda please give us some times to think and think it over! We need a clean unity ..not a dirty one!!
Unregistered said:Mimi ni Mkenya na sioni haja ya kujiunga na watanzania. Watanzania wengi ni WAZEMBE na kwa hivyo hawana MALI yoyote ya kununua bidhaa zetu- "Buying power". Haina maana kuwa na soko kubwa la watu wamasikini na hawaoni hoja ya kujitoa katika umaskini. Leave them to wallow in poverty. They have NOTHING to offer us but sit down and spread hatred. Umasikini kweli uleta WIVU na Chuki. Uchumi wa Tanzania bado upo nyuma sana na watanzania hawana haraka ya kuutoa pale ulipo. Kuungana na Tanzania ni Kujirudisha nyuma. Mbona Romania bado yakatazwa kujiunga na EEC? Mbona USA yafunga mipaka ya Mexico lakini inawafungulia Canada?
Our economies are worlds apart and we HONESTLY DO NOT NEED this union.
Nego said:Kelele ya chura haimzuii ng'ombe kunywa maji.........mimi ni MTz na naelewa maana na faida ya muungano huu; wale wanaoupinga pia naelewa wanajua manufaa ya Muungano...lakini unajua kuna watu kila kitu wenyewe wanaona Negative; au saa nyingine wanataka tu discussion iendeleee...Hivi sasa na huu Utandawazi, yaani wewe MTZ unaona hao waKenya au Waganda na Wanyarwanda ni hatari zaidi kuliko wahindi, Makaburu, Wazungu, etc...ambao ndio leo hii wameatamia sehemu kubwa ya unchumi wetu?? yaani eti kushirikiana kati ya wamasai wa Kenya na wale wa TZ, au Watusi wa Kihangaza TZ na wale wa Kirundi au Kinyarwanda, au kati ya Wakurya wa Musoma na wale wa Kenya ni hatari zaidi kiusalama na kimaslahi kuliko sisi kuhsirikiana na wahindi ambao hata maji ya kunywa nyumbani kwake huwezi pata?
Tuache jamani kelele zisizo na maana...lets think seriously about huu Muungano; kuna hoja zinazoeleweka ambazo ni kama disavantage kama tukiungana...lakini overall, muungano ni faidi tupu...hata ndoa pia zina sura mbili...sasa tusiongelee tu fear of the marriage an dforget that there is that other side which is even sweeter and more beneficial...lets talk sense wandugu!
Mimi nataka ambukizwa hii spirit ya kupigania haki ya wakenya na waganda
Anonymous said:Ndugu Mkenda,
I see that you want those that believe from the heart to convince you. I believe, but not from the heart. I am not even sure that I have one. See how you like this anyway:
We are singly too small a market to attract much attention. The community, as a single market, is more attractive to investment. A market with 100 million consumers has a lot more negotiating clout than three disjoint markets with a third of the customers each.
The East African Tourism Market is enormous. It is beneficial for us to have a common policy on such things as pricing and environmental protection, than to compete among ourselves.
Within an East African Community, you, Mr. Mkenda, will have the whole of Nairobi, Dar and above all, Kampala, as your playground. That, I submit, bits having Kariakoo only as your home ground.
I do not know what you do for a living, but whatever it is, I am sure you will agree with me that it is beneficial to you to be able to do it not only in Tanzania, but within anywhere in East Africa.
Augustine Moshi