east africa retail

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,941
Reaction score
3,262
nani anawafahaamu hawa ea retail mana nimeona tangazo lako la kazi kwenye gazeti nataka kujua umakini wao kwenye kuajiri au ni kazi za promotion
 
kwani promotion sio kazi. acha kuchagua kazi

haujanisaidia swali langu ila nashukuru kwa kuonesha nia vizuri promotion ni kazi na kila mtu anamachaguo yake juu ya kazi kulingana na mahitaji yake kama unaona promotion inaweza kukusaidia mahitaji yako ni vema ikaifanya
 
hata mimi nimeisikia..kaka tutafutane tukaicheki....nasikia ipo karibu na lumumba
 
nimeenda pale kigezo ni uzuri lazima uwe m2 wa fashion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…