Earphones kuto connect kwenye iPhone

Earphones kuto connect kwenye iPhone

gilldenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
2,914
Reaction score
3,021
Wapendwa nna shida earphones haziconnect kwenye iPhone naomba msaada wa utatuzi nifanyeje iliziweze kuconnect...
 
taja aina ya earphone ikiwezekana na picha yake tuma hapa.
 
taja aina ya earphone ikiwezekana na picha yake tuma hapa.

image-2022-11-06-15:58:49-893.jpg
 
Ni iphone gani? Angalia kati ya hizo connector au system charge Inaweza kuwa na shida eidha cahfu au njia zake zimeanza kufa
 
Ni iphone gani? Angalia kati ya hizo connector au system charge Inaweza kuwa na shida eidha cahfu au njia zake zimeanza kufa

iPhone 7 system charge nilisafisha lkn bado
 
sorry app haileti notification.

vipi ukichomeka inaomba kukonect,kama picha hapo chinj??
hizi mpaka bluetooth iwe on uconnect kwanza.kujua kama zina tatizo au laa,jaribu kwenye simu ya mtu mwingine.

hata hivyo huwa ni nyenze sana hautazifurahia.
View attachment 2409409

Bluetooth ipo on na haiombi Kuconnect ntajarbu kwenye cm nyingne ntaleta mrejesho
 
earphone og za apple ni around 150k

atafute tu nzuri ziko kibao around 50k.
hizi zangu ni 25k
Anunue lighting connector original k/Koo ni 30k izo za Bluetooth za kipuuzi ukipigiwa huwezi pokea ukaongea lazima uchomoe.
 
Back
Top Bottom