kwahio na wewe ukaeka referral yako.
Mkuu ushauri tu mobpatner hawakulipi kwa referall hata uwe nao million 100 hawakulipi wao wanakulipa ikiwa referral wako nae ana website akapublish matangazo yao. Kila anavoearn referral wako na wewe ndo unavopata.
Wataregister watu hapa then wat? Wataacha hivo hivo still salio lako litasoma 0