Hapo safi saana!Sio ile sinema mliyotuletea ya kuteua mnaowataka ili kuwalipa fadhila kwa sababu mnazozijua wenyewe!Mbona hao wote mahiri kabisa??Sasa hapo Chadema mnaweza kukubaliana kuwapigia hao mnaowataka mkaacha wengine wagawane kura za CCM! But In my view Prof. Safari na Pamela watashinda
Siasa zetu hizi za kukomoana na kuonyeshana, nina uhakika hao wanawake wote watapita. CHADEMA na CCM wana ule upinzani wa uke wenza, kila mmoja anataka kumwonyesha mwenzake, hata kama analolifanya baya atalifanya ili mradi amkomoe mwenzake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.