according to EAC treaty people have the right to live anywhere in east africa? really?
...Kwa sifa za Rwanda chini ya Kagame tunazoambiwa na kina mchambawima1 kila siku hapa JF, najiuliza kwa nini hata kama hawa watu sio wanyarwanda, wasione ni dili kufananishwa na wanyarwanda na kukubali kurudi Rwanda fasta? Eeh? Elimu bure, afya bure, no kipindupindu, hela nje nje, the happiest country in the world, barabara safi etc etc. Mimi nilidhani reaction ya hawa watu ingefanana na reaction ya mtu ambaye serikali ya Bongo imekosea na kudhani ni mhamiaji haramu kutoka marekani, na anatakiwa kurudishwa kwao marekani! Tehe tehe, hata kama sio kweli kwa nini hawa watu wapinge? hawataki kuhamia 'ulaya ya EAC'? :eek2:
bona inamankusweke Ngongo
Diplomacy ni uchochezi?wengi wamekuja kwa hiari tu....and note here the word "hiari"....tunachosema sisi? serikali ya tanzania isilazimishe watu ambao wana uraia wa tanzania ambao wamepewa kwa kufuata sheria kuja rwanda kwa nguvu simply because raisi wenu ameambiwa asiingilie siasa za wengine. Hizo ni siasa za kitoto. Mwenzako anakuonya kuwa kauli yako ni ya kichochezi halafu wewe unaona uwaonee raia wako eti kwa sababu wanafanana na wanyarwanda.
..mwandishi anadai Tz imefukuza WAKIMBIZI.
..wewe unadai Tz imefukuza raia wake yenyewe.
..mwanasheria aliyepeleka kesi EAC, anadai waliofukuzwa ni WANYARWANDA.
..zaidi, mwanasheria huyo anadai kulingana na EAC treaty, wanyarwanda wana haki ya kuingia na kuishi Tz bila kizuizi chochote. kwa maana nyingine anadai mkataba wa EAC una nguvu kuliko sheria za uraia na ukaazi za Tz.
cc Ngongo, bona
Diplomacy ni uchochezi?
Nani kakwambia walipata uraia?
..mwandishi anadai Tz imefukuza WAKIMBIZI.
..wewe unadai Tz imefukuza raia wake yenyewe.
..mwanasheria aliyepeleka kesi EAC, anadai waliofukuzwa ni WANYARWANDA.
..zaidi, mwanasheria huyo anadai kulingana na EAC treaty, wanyarwanda wana haki ya kuingia na kuishi Tz bila kizuizi chochote. kwa maana nyingine anadai mkataba wa EAC una nguvu kuliko sheria za uraia na ukaazi za Tz.
cc Ngongo, bona
Ukimpokea mtu ana certificate of naturalization ya tanzania, ana passport ya tanzania ameishi tanzania tangu azaliwe na ana miaka zaidi ya 45....huyo ni nani kwa mtazamo wako?
according to EAC treaty people have the right to live anywhere in east africa? really?
wengi wamekuja kwa hiari tu....and note here the word "hiari"....tunachosema sisi? serikali ya tanzania isilazimishe watu ambao wana uraia wa tanzania ambao wamepewa kwa kufuata sheria kuja rwanda kwa nguvu simply because raisi wenu ameambiwa asiingilie siasa za wengine. Hizo ni siasa za kitoto. Mwenzako anakuonya kuwa kauli yako ni ya kichochezi halafu wewe unaona uwaonee raia wako eti kwa sababu wanafanana na wanyarwanda.
Ukimpokea mtu ana certificate of naturalization ya tanzania, ana passport ya tanzania ameishi tanzania tangu azaliwe na ana miaka zaidi ya 45....huyo ni nani kwa mtazamo wako?
Ukimpokea mtu ana certificate of naturalization ya tanzania, ana passport ya tanzania ameishi tanzania tangu azaliwe na ana miaka zaidi ya 45....huyo ni nani kwa mtazamo wako?
The East African Community (EAC) will revive stalled talks on the expulsion of Rwanda refugees from Kagera region in Tanzania at the height of soured relations between the two neighbouring countries in 2013.
The EAC Council of Ministers, which is the policy organ of the Community, will deliberate on the matter later this month ahead of the Ordinary Heads of State Summit which is likely to take place in Arusha on November 30th.
According to the Counsel to the Community Dr. Anthony Kafumbe, the EAC Secretary General had started efforts to diffuse the crisis in August 2013 and in January this year by convening bilateral meetings for the two partner states. Apparently no progress was made. .
hivi wewe nini mbona unapenda ligi za kipumbavu? yaani kwa vile unabishana na murutongore basi lazima uwe insane!Hakuna mtu yeyote aliyefukuzwa akiwa raia wa Tanzania. Usianze kutengeneza facts zako za uongo. Wote waliofukuzwa ni raia wa Rwanda waliokuja KIHARAMU! Ndio maana muandishi wa hii post anachodai ni kuwa wanyarwanda hawa wana haki ya kuishi TZ per EAC treaty, na wala hadai kuwa hawa sio wanyarwanda.