Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,080
- 744
Hana lolote huyo Onyango ni kibaraka aliyepandikizwa na kuandika pumba all the time kwa sababu bila hivyo hama mkate wa asubuhi.
Wanasifia hata kuku wa kienyeji utasikia ai hi si kama ya kwetu ya kwetu jongoo ni wareefu,na tukirudi nyuma waTZ tuko mbele,kwanza kila MTZ anakwao hawa jamaa wengi wamezaliwa kwenye skwata na slums,wa TZ atleast kila mtu anasehemu anayoita nyumbani kwetu na ana ardhi na kibamda wenzetu hawana wanaishi kwenye nyumba za bati.husifia hata mama lishe .WTZ tuko mbele bana na ndio maana TZ pakaitwa bongo
Huyu jamaa nimesoma makala zake kwa muda mrefu saana kuna kipindi alikuwa anaiponda saana TZ hususani na alibadilika yalipokuja mambo ya EAC naona makalazake sasa haziegemei tena Kenya kama giant wa EA anajaribu kubalance but its too late.hili gazeti nikijaribu kukumbuka walivyoreport kuhusu ubinafsishaji wa ATC, utalii wa uwindaji , waliponunua Mwananchi nakumbuka one of the editor aliyeletwa afanyie Citizen alitoa maneno ya kejeli kwamba magazeti ya kingereza ya Bongo wanacopy na kupaste tu, hawa wanajumuia wenzetu kwa kujisifia hawajambo
This are the lies that you comfort youself with huh? You think you are better off than the next bloke just because you have a piece of land under your name, and a shack that you go to at the end of the day, and some form of political sanity in your country, well if that's your definition of being better than Kenyans, then your thought process is as twisted as a crack addicts.
You fruits should learn to look at things in different perspectives, everyone is critiquing the article just because the writer presumably writes ''biased'' article about Tanzania, you fail to grasp what he is trying to put forth in this article. look at Swahili, the language we so boastfully call ours, it has more Arabic influence than any Bantu language, but we have been trained to embrace what is foreign than what is ours. Am not trying to say that EA is more Arab than African, what am trying to say is that instead of arguing sense, we are discussing things way out of context just because we dislike the writer. Uswahili utakapo watoka, labda ndipo mtafungua macho na akili.
Mzeiya,
you are about to derail this thread with your posting or is that your intention?
Kisha I believe you need more knowledge about the language of Kiswahili.
It is a language that is comprised of words from Bantu languages, Arabic,
Portuguese, English and some others.The statement "it has more Arabic
influence than any Bantu language.." is therefore wrong.
Regards.
Am not trying to say that EA is more Arab than African, what am trying to say is that instead of arguing sense, we are discussing things way out of context just because we dislike the writer. Uswahili utakapo watoka, labda ndipo mtafungua macho na akili.
Hii ni thread ya chini kabisa katika kiwango. Huyu ndugu amepitwa na wakati.
Kifupi yu nyuma na wakati, hasa wakati huu wa Utandawazi.
Kwa mtaji wa mawazo haya, ni vigumu kwa upande wangu kufikiri kuwa Tanzania, Kenya na Uganda zaweza kuungana na kufanya EA. Ni muhimu tuungane kwanza kimawazo, na kufikiria zaidi utendaji kuliko ukikuyu, uluo au ujaluo zaidi kuliko Afrika.
Huyu bwana ni mkabila, hana lolote.
Kweli. Lets stick to the topic. The guy has a point. Na hii ndio point yake: Siasa za uzawa ni hatari sana maana ukifuatilia sana utagundua hakuna mzawa, sisi wote ni wakuja. Kwa mfano, hapa Tanzania Mngoni wa Ruvuma ni mzawa kuliko Mbaluchi wa Mbeya? Nani alitangulia kufika Tanganyika? Tujenge nchi ya 'raia' ni si 'wazawa'!
Wabongo tumekuwa waswahili sana, hilo sina ubishi nalo, huwa tunapenda kusema sana bila matendo, wenzetu pamoja na kuwa wametokea kwenye skwata kama mdau mmoja alivosema lakini they are smart linapokuja suala patriotism, sisi tuna umimi sana, patriotic ideal mindsets hatuna kabisa. Huwa tunabwabwaja sana mtaani na ni watu wa kulalamika tu. Halafu mimi sielewi kabisa hivi hizo NGOS zote Tanzania zinafanya kazi gani, nchi inaingia kwenye grand corruptions cjawahi ona ngo yoyote ikiandaa movement zozote kuchukua hatua hata za kwenda mahakamani, yaani wooooga mtupu---------tuache umimi na tuige mfano wa wakenya