Its good start na itapunguza mianya ingawa bado kuna uwezekano wa pesa zinzoandikwa na kuwekwa online zikawa tofauti na zile zinazopita mikononi.., yaani 10% ipo pale pale
rafiki chunguza kwanza kabla ya kutoa kauli. understand how it will work first. ten percent haina mwanya hapa. you cant proceed in bidding if you are above the computer approved pricing levels. eg. mfano wa biro pen. sokoni tuseme ni ksh 10. government imekuwa ikilipa from 30-50/pen. computer will not proceed with your bidding if your price sio 10 au 15. just go online and study the system kabla kutoa uamuzi
Mkuu what is 10% sometimes watu hutoa rushwa ili tender yao ikubaliwa hivyo kabla ya kupatana before hand wanahakikisha bid yako haipiti as well as kuna kununua vitu hewa.., wanasema wamenunua biro box 100 kumbe wamenunua 50 na nyingine kuweka kando..
Alafu kumbuka bids nyingi sio kwamba lowest price ndiyo inayokubaliwa bali wanaangalia na mambo mengine mengi (hayo mengine ndio yanayotumika kuchuja ambao hawajatoa 10%)
Sio kwamba nasema mfumo haufai au hautapunguza mianya, bali nasema bado kuna upenyo wa ku-cheat the system mpaka hapo wananchi wenyewe watakapokuwa wazalendo na kuanza kuchungana
I share that with you on the old paper system, but you have not gone through this system. kenya haita kuwa na manual procurement tena. just pin point how 10% itakuwa implemented in the system sababu ata ukitoa your 10% your money is eaten but you dont make through the e procurement system.
Mkuu what is 10% sometimes watu hutoa rushwa ili tender yao ikubaliwa hivyo kabla ya kupatana before hand wanahakikisha bid yako haipiti as well as kuna kununua vitu hewa.., wanasema wamenunua biro box 100 kumbe wamenunua 50 na nyingine kuweka kando..
Alafu kumbuka bids nyingi sio kwamba lowest price ndiyo inayokubaliwa bali wanaangalia na mambo mengine mengi (hayo mengine ndio yanayotumika kuchuja ambao hawajatoa 10%)
Sio kwamba nasema mfumo haufai au hautapunguza mianya, bali nasema bado kuna upenyo wa ku-cheat the system mpaka hapo wananchi wenyewe watakapokuwa wazalendo na kuanza kuchungana
Naomba unieleweshe hii e - procurement inakwendaje mkuu na kama imeondoa kabisa human interaction, ngoja nikupe mfano kama kuna kampuni A na mimi nimeshaelewana na mnunuzi wa pale huwa tunafanya biashara pamoja tunapanga kununua boxes za biro 500 ninaandika kabisa kwamba nimenunua boxes 500 ila kumbe in real sense nimenunua boxes 200 na pesa ya zile mia tatu tunagawana..., au badala ya kununua biro nanunua bero kutoka China (low quality) ila kwa bei ya biro (who will check) ?
AU Katika tender tupo watu kumi ambao tumekidhi tender ila mimi peke yangu nimepatana na wale wafungua tender / wachaguzi / wanaoangalia vigezo....., ukizingatia sidhani kama ni mashine ndio inachagua watu bali ni human beings..., kwahio kwa kuongea nao wananichagua mimi (ingawa hapa sio lazima kwamba government itapata hasara bali kutakuwa hakuna haki au huenda mtu ambaye angefanya kazi vizuri lakini hakutoa kitu kidogo hapati kazi..
In short hii ni hatua nzuri sana na kila mtu inafaa aige kutokana na ile transparency lakini wadokozi bado watapiga pesa ingawa sio kama zamani