Bado kunahitajika utafiti wa kutosha kuhusu hili. Maeneo mengi kwa sasa hakuna uhalisia wa gharama za parking. Ukipaki hata dk unadaiwa 1500. Tujuzwe pia muunganiko huu na gari ukoje au ni mtu akiliona gari ndio anaingiza kwa system au ni automatic. Hali bado sana.