Ninayo orginal si ya mchina tzs300,000 nipo mwanzaMweny e61 nokia antajie bei 2elewane"
pia unaweza nip.m nipo mwanza"
ni mpy au?Ninayo orginal si ya mchina tzs300,000 nipo mwanza
Si Mpya ila iko katika hair nzulini mpy au?
ila bei umekoxea bhana! Dukn bei pia co hyo inauzwa.com n jiwe na nuxu we unaipga lak 3 jua ì ni jamii forumSi Mpya ila iko katika hair nzuli
nataka e61Ninayo nzuri zaidi e71 mpya from uk,ukiitaka nipm
mia mkubwa kioo kmefnyaje tena?kaka ninayo nokia e61i,ila imepata hitilafu kwenye screen na ninaweza kurekebisha kwa ajili ya biashara...nipo dar,nipm kama upo willing...very cheap nitakuuzia...hours trials
Huyo mchiz anaesema laki3 kakudharau sana, sawa na itokee cm ya toch nokia mtu akuuzie laki 8....