Vitini ni nini?
alikuwa nani
Hivi au mie kiswahili F hayati si ni neno la mtu aliyekufa muda kidogo au inakuwaje jamani?TBC nadhani imeanzishwa miaka ya 90 hivi na kabla ya hapo ilikuwa inaitwa TVT...sasa bachi kawa hayati huyu tena? nikosolewe kama sielewi maana ya hayati jamani.
Mkuu izo dvd zipo mpaka sasa?DVD zilizorekodiwa na Muasisi wa Elimu ya Utambuzi Tanzania, Munga Tehenan, zinapatikana katika ofisi ya FAJI iliyopo katika ofisi ya Rombo Kimara,
Majina ya DVD zinazouzwa ni:Wewe ni nani?, Kijiamini na kutojiamini, Upendo na uhusiano, na Maswali na Majibu, Bei ni tshs 10,000 kwa kila moja, vitini vinavyoendana na mikanda hiyo vinapatikana kwa bei ya shs 500.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na 0763 627003 au 0715 627003, 0682 974 397 au 0712 458656.
Wote mnakaribishwa.
Hayati na Marehemu ni maneno yanayotumiwa na Binadamu kujipa umaarufu baada ya kufariki wakithani kwamba huo waendako wanaenda na heshima walizokuwa nazo duniani. Thubutu, ubaguzi na thulumati zako zote unaziacha huku duniani, huko baada ya nguo unazoondoka nazo kuoza, unaenda kuwa uchi kama ulivyokuja. Eti Hayati = Mfu aliyekuwa na Heshima Dunia enzi za uhai wak; na Marehemu = Mfu aliyekuwa hana heshima duniani enzi za uhai wake.Hivi au mie kiswahili F hayati si ni neno la mtu aliyekufa muda kidogo au inakuwaje jamani?TBC nadhani imeanzishwa miaka ya 90 hivi na kabla ya hapo ilikuwa inaitwa TVT...sasa bachi kawa hayati huyu tena? nikosolewe kama sielewi maana ya hayati jamani.