Mhoja JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 207 Reaction score 24 Oct 8, 2011 #1 Wadau nimejaribu kuingiza picha zinakataa, masharti waliyotoa kuhusu picha ni mengi mno. Anayejua atusaidie kutujuza!
Wadau nimejaribu kuingiza picha zinakataa, masharti waliyotoa kuhusu picha ni mengi mno. Anayejua atusaidie kutujuza!
Mhoja JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 207 Reaction score 24 Oct 8, 2011 Thread starter #2 Kwa wasiojua, dv-2013 ni utaratibu wa kutoa visa wa marekani kwa wageni 50000 kila mwaka kwa njia ya bahati nasibu!
Kwa wasiojua, dv-2013 ni utaratibu wa kutoa visa wa marekani kwa wageni 50000 kila mwaka kwa njia ya bahati nasibu!
andrewk JF-Expert Member Joined Apr 13, 2010 Posts 3,102 Reaction score 491 Oct 8, 2011 #3 Nenda photo point, mkapa tower, waambie watakupiga picha inayotakiwa na kukupa soft copy, mimi nifanya hivyo 2 years back
Nenda photo point, mkapa tower, waambie watakupiga picha inayotakiwa na kukupa soft copy, mimi nifanya hivyo 2 years back
ChaterMaster JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 1,623 Reaction score 808 Oct 8, 2011 #4 tumia path ya kenya au uganda itakubali. ikishindikana basi jaribu kuedit a picture from Arabs-Countries itakubali maana wanaruhusu hizo picha ili wapate picha nyingi za kina al-Quida.
tumia path ya kenya au uganda itakubali. ikishindikana basi jaribu kuedit a picture from Arabs-Countries itakubali maana wanaruhusu hizo picha ili wapate picha nyingi za kina al-Quida.