duuuuuuh!!!

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,272
Reaction score
987
teknolojia inazidi kupanuka nchini china
 

Attachments

  • 1435160011767.jpg
    85.5 KB · Views: 1,343
Siku yatakapo wakataa yaanze speed ya 240 KPH ndo watajuta kuendekeza uvivu wa kutembea. Kweli, uvivu hasara
 
Siku yatakapo wakataa yaanze speed ya 240 KPH ndo watajuta kuendekeza uvivu wa kutembea. Kweli, uvivu hasara

ha ha ha wanapenda raha ngoja lije lijichanganye hawataamini!!!
 
Pengine ana matatizo ya kutembea

kiraia;
Usijali, siku hiyo ndo ile siku waswahili wanasemaga; Bubu anataka kusema...., nakwambia, atatembea kwa hiyo hiyo miguu yake. Usichezee kifo weye
 
Kwanini lazima avutwe? Kwani hakuweza kuweka automatic yenyewe tu bila kuvutwa
 
acheni uvivu wa kufikiri, wenzio wanasimplify maisha ninyi mko busy na consequences. watu washacalculate risks
 
Siku yatakapo wakataa yaanze speed ya 240 KPH ndo watajuta kuendekeza uvivu wa kutembea. Kweli, uvivu hasara

Kwa mawazo kama haya, mpaka leo binadamu angekuwa akiishi kwa kuokota tu matunda na kuchimba mizizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ