Duuuu haya mengine sasa!

Huyu mleta uzi anatakiwa kupelekwa milembe, pale dodoma!
 
Yani wanapigana vijembe wakati wa kampeni kwamba nani zaidi na nani kaboronga kwenye jimbo lake. Changanya na za kwako..hahah!
 
😂😂😾😂😂😂😂😂😂😂
 
Tuwaombee waendelee tu kusagana maana huku kwetu unga umepanda bei!
 
Adabu....ni nini..???? Kwenye majibu yatakuwepo yasiyo na adabu.yakitokea hebu yataje.
 
huyo muariri wa hilo gazeti ashindwe ktk jina la Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…