Duuu hawa watoto nao!!

Hawana namna ndio CCM imewafanya wawe wabunifu kuiona ya ukweli ni ndoto kwao
 
Hahahaaa balaaa hapo Kikeke anatangaza kutoka London
 
Kwa raha zao wenyewe.

Na nna uhakika hapo mbele wanaenda kwa zamu.

Safi sana
 
Kingunge Liveeeeeeee kupitia Itv, watoto wamekuwa wabunifu, hayo ndio msbsdiliko sio yale ya kukatwa huku ukahamia kule kusaka maslahi halafu eti yanaitwa Mabadiliko!!!
 
Kingunge Liveeeeeeee kupitia Itv, watoto wamekuwa wabunifu, hayo ndio msbsdiliko sio yale ya kukatwa huku ukahamia kule kusaka maslahi halafu eti yanaitwa Mabadiliko!!!

Umeona eeh mkuu Hilo halina pingamizi kabisa kama kujitoa jitoe sio unaacha huku unaenda kule yaani kimsingi unatetea maslai yako Duu noma sana aisee. Lkn "Tutafika" 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…