Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Wazee wa misifa na majigambo
hahahahhahahaha...... iwe, waguma?
- naguma,wabonaki :majani7:
Hii nilichelewa kuisoma coz nilienda Paris kukata kucha zangu.
Hapana kwani ni juzi juzi tuu nilienda naye New York kwa ajili ya kusherehekea X-mass na rafiki zake Maria na Sasha Obama.utapitia na london,UK kuona mtoto wako anayesoma chekechea?
Hapana kwani ni juzi juzi tuu nilienda naye New York kwa ajili ya kusherehekea X-mass na rafiki zake Maria na Sasha Obama.
kuna harusi tulienda nilikuwa na mama ilikuwa tanzania,sasa MC ni ndugu yetu tena ni mhaya,akaanza utambulisho,money stunna na mama yake walifika jana usiku na ndege kutokea marekani,mimi ndiye nilienda kuwapokea na land cruiser VX yangu,niliyoinunua mwezi uliopita bado mpya na imepak apo nje,nilicheka ila nikashangaa waliouzulia wala awakushtuka na karibu wote walikuwa wahaya,kumbe waliona ni kawaida tu