Duu mzungu katoa kali

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
285
Da mitaa flani bana mtoto alikuwa juu ya mti a mapera akitungua mara ghafla mama wa kiazungu akapita pale chini yake akainua kichwa akagundua kale katoto akajavaa chupi.mara akakaambia hey toto njoo shuka chukua hii elfu kumi kanunue chupi.da katoto kakashika hiyo hela kakakimbia kwa mama yake kakampa stor.du maza si akapagawa naye akamuwah yule mzungu kwa mbele akakwea mwembe mara mzungu akapita maza akmuita wewe zungu njoo chukue embe.alaf yule maza si akajiachi ili aonekane mara mzungu akamwita helo ma shuka chini pate zawad yako.maza akajua kangoa zali kama sio elf kumi ni elf ishirin.kufika tu mzungu akafungua walet yake akatoa sh .hamsin haya mama kanunue topaz ukanyoe manywele yako shenz hapana kaa chaf chaf hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…