Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,937
Mkuu Mbona maneno yamekutoka kana kwamba umeguswa frigisi..........Kunywa dawa ya kufungua tumbo utaendesha na wewe.
Tamaa tu zimekujaa usione choo unataka kuinama.
Yaani kama umeziona tu leo umetamani uziendeshe je ungemwona rubani si ungempa Mrefeji kabisa. Acha tamaa mtoto wa kiume utarubuniwa.Mkuu Mbona maneno yamekutoka kana kwamba umeguswa frigisi..........
Mkuu leo Umeamkia wapi mbona unaongea kama umekaliaYaani kama umeziona tu leo umetamani uziendeshe je ungemwona rubani si ungempa Mrefeji kabisa. Acha tamaa mtoto wa kiume utarubuniwa.
[emoji23] [emoji23] Anataka awe dereva wa NdegeUkitaka kujua kuendesha, lala kwenye chandarua chenye ngao.
Yaani kama umeziona tu leo umetamani uziendeshe je ungemwona rubani si ungempa Mrefeji kabisa. Acha tamaa mtoto wa kiume utarubuniwa.
Khaa Una mdomo mchafu mtoto wa kiume Kama karo la ikuluYaani kama umeziona tu leo umetamani uziendeshe je ungemwona rubani si ungempa Mrefeji kabisa. Acha tamaa mtoto wa kiume utarubuniwa.
Inaonekana na wewe hali ni moja sawa na mleta uzi, mtapanda kwa zamu wala msijali ngoja tuweke mambo sawa. Tena wewe utapanda kabla ya mwenzako inaonekana hisia zako ni za karibu kuzidi zile za mwenzio.Khaa Una mdomo mchafu mtoto wa kiume Kama karo la ikulu