D diaz Member Joined Jan 3, 2013 Posts 80 Reaction score 9 Nov 15, 2013 #1 Wadau kesho naenda kufanya interview ya "Academic officer II" kwa zile kazi ambazo zinatangazwa na PSRS. Kama kuna mdau ambaye ameshawahi kuhudhuria usaili kwa nafasi ya ACADEMIC OFFICER II anijuze aina ya maswali ambayo aliulizwa.
Wadau kesho naenda kufanya interview ya "Academic officer II" kwa zile kazi ambazo zinatangazwa na PSRS. Kama kuna mdau ambaye ameshawahi kuhudhuria usaili kwa nafasi ya ACADEMIC OFFICER II anijuze aina ya maswali ambayo aliulizwa.
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,789 Reaction score 4,833 Nov 17, 2013 #2 Mkuu umetoboa kwenye written? Matokeo yametoka naona nime-underscore.
N nunu.... Member Joined Aug 23, 2012 Posts 7 Reaction score 1 Nov 17, 2013 #3 Umetoboa, yaani fairly kabisaaa! Au kizungumkuti.. Tuaminishe basi.