Duniani magonjwa mengi sana

Duniani magonjwa mengi sana

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
47
Reaction score
209
Ni kweli kifo kinaogopwa dah leo baada ya kupata dalili fulani nikaona isiwe kesi acha nizunguke kwenye youtube nikapate uahauri kidogo wa video za madocta wa youtube

Nilichokutana nacho hakika nimepona 😀😃😄

Watu wanaumwa katika dunia hii kuna magonjwa mengine hayana hata majina unakuta mtu ana comment dalili zake za ugonjwa unao msibu kuliko kumuonea huruma unajikuta unacheka 😀😃😄 hee Mungu tusaidie
 
"Dont google your symptoms " kuna kibao kitafute.
 
Back
Top Bottom