Dunia uwanja wa fujo

huyu ndie alie gongesha ile ndege
 
Pengine anafuata maagizo. aliambiwa aoshe gari, anaosha sasa
 
Fresh tuu. Kwani mvua inatakatisha gari??
 
Pengine mvua ilimkuta ghafla akiwa kwenye zoezi la kuosha akaamue aendelee
 
Wenzetu wanakuwaga na hali za hewa mbaya na za ajabu sana. usikute hapo inaanguka mvua chafu.
 
Tatizo hiyo mvua imechanganyikana na diesel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…