Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,044
- 7,683
Kaa na ujinga wako, ukikua utaijua dunia vizuriHuyo mganga hapo alitafuta mteja kupitia madalali wala hakufanya dawa zozote.
Hayajamkuta badoKaa na ujinga wako, ukikua utaijua dunia vizuri
Broh kama unataka kwenda kwa mganga au kupata mali kwa njia hiyo, it's okay unaweza fanya tu maana uamuzi ni wako.As/aleikum wakuu
Dunia ina mambo sana, kuna jamaa ametangaza kuuza nyumba yake kikawaida uku akimtegemea Mungu, imepita miaka ajaiuza, na nyumba ipo sehemu nzuri tu, akaona bora amtafuta mtaalamu anaemjua yeye, akaja akamfanyia ya uongo na kweli, akamuambia haidhidi wiki au mwez utaiuza, kwel bwana akauza kabla ya mwezi.
Na kuna mwingine alikua na ela mtaji karibia milion mia na akafirisika kimaajabu, na haikutosha akapata na mtoto ambae ni mlemavu kusikia na kuongea na wengineo ambao wapo sawa, sasa umasikini unamkabili haswa, wale wenzie ambao wanafanya biashara na kutegemea waganga, mambo yao yamenyooka haswaa, hii dunia ni mtihan na haieleweki, kwann wanaomtegemea Mungu hawafanikiwi eti????
matajiri wanafanya shiriki wakuu,msiwaone hivyo,wote hao mnaowajua ni washirikina hasa.
Mod: msiuhamishe huu uzi maana mna kimbelembele sana.
sipo vizuri kwenye kuandika mniwie radhi
Ule uzi wako wa story ya kufumaniwa mbona siuoni, upo jukwaa lipi? Nimesoma portion 3 tu hlf sioni tena muendelezoBroh kama unataka kwenda kwa mganga au kupata mali kwa njia hiyo, it's okay unaweza fanya tu maana uamuzi ni wako.
Ila usianze kutoa mifano miingi ili kujustfy unachotaka kufanya.
Kuna mambo yalijitokeza dada mkubwa. Uzi ikabidi ufutwe. Haupo tena jukwaaniUle uzi wako wa story ya kufumaniwa mbona siuoni, upo jukwaa lipi? Nimesoma portion 3 tu hlf sioni tena muendelezo
Jaman hela zinapatikana kihalali kabisa ndugu zangu, jiwekee utaratibu tu wa kuamua kuanza. Jinyime kweli kweli na muombe Mungu. Jiwekee malengo ya miaka 10 kila siku hela ilale chini. Nakuhakikishia hela zipo nyingi sana jinyime na uanze sasa. Ishi life lako na amua kuanza.As/aleikum wakuu
Dunia ina mambo sana, kuna jamaa ametangaza kuuza nyumba yake kikawaida uku akimtegemea Mungu, imepita miaka ajaiuza, na nyumba ipo sehemu nzuri tu, akaona bora amtafuta mtaalamu anaemjua yeye, akaja akamfanyia ya uongo na kweli, akamuambia haidhidi wiki au mwez utaiuza, kwel bwana akauza kabla ya mwezi.
Na kuna mwingine alikuwa na hela mtaji karibia milioni mia na akafirisika kimaajabu, na haikutosha akapata na mtoto ambae ni mlemavu kusikia na kuongea na wengineo ambao wapo sawa, sasa umasikini unamkabili haswa, wale wenzie ambao wanafanya biashara na kutegemea waganga, mambo yao yamenyooka haswaa, hii dunia ni mtihan na haieleweki, kwann wanaomtegemea Mungu hawafanikiwi eti?
Matajiri wanafanya shiriki wakuu,msiwaone hivyo,wote hao mnaowajua ni washirikina hasa.
Sipo vizuri kwenye kuandika mniwie radhi
Muda si mrefu utampelekea mganga rizki yake.As/aleikum wakuu
Dunia ina mambo sana, kuna jamaa ametangaza kuuza nyumba yake kikawaida uku akimtegemea Mungu, imepita miaka ajaiuza, na nyumba ipo sehemu nzuri tu, akaona bora amtafuta mtaalamu anaemjua yeye, akaja akamfanyia ya uongo na kweli, akamuambia haidhidi wiki au mwez utaiuza, kwel bwana akauza kabla ya mwezi.
Na kuna mwingine alikuwa na hela mtaji karibia milioni mia na akafirisika kimaajabu, na haikutosha akapata na mtoto ambae ni mlemavu kusikia na kuongea na wengineo ambao wapo sawa, sasa umasikini unamkabili haswa, wale wenzie ambao wanafanya biashara na kutegemea waganga, mambo yao yamenyooka haswaa, hii dunia ni mtihan na haieleweki, kwann wanaomtegemea Mungu hawafanikiwi eti?
Matajiri wanafanya shiriki wakuu,msiwaone hivyo,wote hao mnaowajua ni washirikina hasa.
Sipo vizuri kwenye kuandika mniwie radhiMuda si mrefu utaenda kumpelekea mganga rizki yake.
OkJaman hela zinapatikana kihalali kabisa ndugu zangu, jiwekee utaratibu tu wa kuamua kuanza. Jinyime kweli kweli na muombe Mungu. Jiwekee malengo ya miaka 10 kila siku hela ilale chini. Nakuhakikishia hela zipo nyingi sana jinyime na uanze sasa. Ishi life lako na amua kuanza.