manze mimi ningekua marketing manager wa AK i would have buses collecting people from north rift accomodation and food wanajitegemea because those people sleep and wake up athletics kwa nini watu wajae katika rally ya jubilee na nasa na ni upuzi tu wanaongea afadhali waende stadi waone our national pride
Litakuwa ni jina lako hilo,tuliza mapepe jombaa Kasarani maneno yashaanza fatilia live kwenye runinga ya KBC1.Alaa,hutaki kuhesabu medali za tz wewe?Maandaas!