Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Tunazidi kuwashangaaZa chini chini zinasema wanapunguza maatumizi.
Ndio maana wakaenda Rwanda kutafuta STRIKER...
Baada ya kula kwa shemeji yako...umetoka vyombo na kuosha..unasubiri watoto wamalize kutazama tamthiria ili ulale kwenye makochi...ndio wazo la kuanzisha huu uzi wa kiboya likakujiaWakuu
Kuna vitu sometimes huwa vinashangaza sana.
Hii dunia hasa Tanzania inaishangaa sana team moja pale kariakoo yenye jezi nyekundu...
Unajifanya unawajua watu.Baada ya kula kwa shemeji yako...umetoka vyombo na kuosha..unasubiri watoto wamalize kutazama tamthiria ili ulale kwenye makochi...ndio wazo la kuanzisha huu uzi wa kiboya likakujia
Hata sisi tunawashangaa.Tunawashangaa pia
Kabisa [emoji1787][emoji1787]Baada ya kula kwa shemeji yako...umetoka vyombo na kuosha..unasubiri watoto wamalize kutazama tamthiria ili ulale kwenye makochi...ndio wazo la kuanzisha huu uzi wa kiboya likakujia
Na wewe tunakushangaa kuandika utopoWakuu,
Kuna vitu sometimes huwa vinashangaza sana. Hii dunia hasa Tanzania inaishangaa sana team moja pale Kariakoo yenye jezi nyekundu, Simba.
Wao wamemaliza msimu bila kombe lakini mchezaji wao kuchukua kiatu kwao ni mafanikio makubwa zaidi ya team iliyobeba kombe tena double.
Wao kwao aliyefika finali na aliyefika robo yule wa robo ndio mwenye mafanikio! Wao hawataki Kombe ila tu kumfunga Yanga ni Kombe tosha!
Wameleta wachezaji wa mafungu mafungu na hawachezi kwao sio shida ila kwa wengine ni shida. Mmiliki wao analalamika team inapata hasara lakini haondoki yupo tu!
Yule kocha wao nae pia eti anaamini kuwa wao watakuwa mabingwa wa CAFCL! Yule babu wao Said Ntombonkiza yeye wanadai alitakiwa apewe kila tuzo pasipo hata kuangalia vigezo wao wanataka apewe tu!
Dunja inaishangaa sana hii team.