Yaani kuna wajinga wana mamlaka ya kuchapisha hela halafu wanazikopesha. Na wanadai na riba juu wakati sisi huku chini kupata hiyo buku mpaka upambane. Ko ndiyo hivyo. Na hii ni hatari sana ipo siku kwa kadri deni linavyoendeleakuwa kubwa uchumi wa dunia utaanguka