Dunia ina wajinga weng na werevu wachache mno ratio ya 10:2

ndonger

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
875
1,537
1.unakuta mtu anakwambia jambo fulan ni mapenz ya Mungu(especialy mambo mabaya)

2.mtu anaendesha gar amelewa pombe

3.mtu yeye mademu zake ni wale wa ambiance tu hanaga shobo na wengne na sometime anakula kavu ukimuliza anakwambia akitumia nanilio haina ladha.

4.mtu hana msimamo..anaendeshwa na hisia za mapenz maisha yake yote.kama ni mwanamke basi furaha yake kawekeza kwa mumewe au bwana wake..

5.mtu kaz yake ni kujaza wanawake mimba na kuwa na watoto kila kona.

6.mtu hajal afya..anakunywa kupitiliza na akijia figo na inni vinalika.

7.mtu hana mipango kiuchumi..yupo yupo ..no plan

8.mtu anafadhaika na jinsi watu wanamwonaje..au mtu hana amani sabab watu watamchukuliaje.

9.mtu hata kubadili glopu hawez.

10.mtu yeye ni kishikaga namba za viatu tu darasan..no effort.

11.mtu hata technique za kumfikisha mwanamke kilelen hujui..unauliza mwanamke vip umefika au bado..kwa wajuzi wanajua mwanamke akifika bila kifake

12.
 
Mkuuu hyo namba tatu 3 umefanya nichekee maana npo hapa ambiance ya zaman room namba 3 nakula skanka ,,,,karibu bhana ilaa mm na madem n mbali x2 ,maana madem wenyewe wa cku hz Kila Dem unayemgusa ananukaa k ..imekuwa km janga kwao ..
 
Noma kaka...hahhahaah
 
3.mtu yeye mademu zake ni wale wa ambiance tu hanaga shobo na wengne na sometime anakula kavu ukimuliza anakwambia akitumia nanilio haina ladha.
Mkuu hebu acha ku pretend as if wewe ni under 12 years na upo mbele ya kikao Cha familia.

Yani neno condom ndio unazuga huwezi kulitaja??
 
Mkuu hebu acha ku pretend as if wewe ni under 12 years na upo mbele ya kikao Cha familia.

Yani neno condom ndio unazuga huwezi kulitaja??
Hahaha...mkuu...jf skuhiz unaweza pigwa ban kisa neno lenye ukakas...
ID yangu kongwe tokea 2012 ilipigwa ban ya maisha sina hamu. Ndomana nna discipline ya hali ya juu
 
Hahaha...mkuu...jf skuhiz unaweza pigwa ban kisa neno lenye ukakas...
ID yangu kongwe tokea 2012 ilipigwa ban ya maisha sina hamu. Ndomana nna discipline ya hali ya juu
Sidhani kama unaweza pigwa ban ya maisha kwa kutaja kitu ambacho ni sehemu ya maisha yetu.

Hiyo ban Yako utakuwa ulifanya kosa kubwa
 
Wajinga wengi wapo ulimwengu wa tatu, wanatumia mda mwingi kusali ili baadae wapate uzima wa milele. Wajanja wanajua maisha ni haya haya, maisha ni mchezo. Wanakudanganya na neno la Mungu kana kwamba wametumwa nawe unawaamini kwa kuwapa sehemu ya kumi.
 
Back
Top Bottom