Kuna mambo matatu ambayo huwa moja linaweza simama kupinga lingine. Mwenye uelewa anaweza kuchambua haya mambo matatu lipi nikuu kuliko mengine. Lipi bora kuliko mengine na lipi linapaswa watu walizingatie zaid kuliko mengine.
HAKI
HURUMA
SHERIA
kuna wakati mtu unaweza simamia haki ukavunja sheria. Kunawakati unaweza fwata sheria ukakosa huruma. Kuna wakati unaweza kua na huruma usitende haki. Je kipi bora kuliko vingine?
Je, kwako ukapewa maamuzi kipi kisimame utasimamia upande gani?
Mkuu yote hubebwa nahuruma kwani huruma nikatika tawi la upendo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]