Kuna uwezekano huyo Baba akawa na matatizo ya akili, ila watu wanamchukulia tu kuwa ana roho mbaya,,,, nawashauri kama mnaweza, wasilianeni na nduguze wajaribu kumtafutia Mwanasaikolojia aweze kumsaidia tatizo lake.. Sidhani kama angekuwa mzima kabisa angeweza kufanya aliyoyafanya...