nitakupm ubust shost safi sana anakuja ameshattumika anasema hawezi kazi na wewe unahitaji aahhh chukua kifaa chako anza boosting process
hii haiunguzi wacha ushamba ina booost machine nzuri sana zaidi ya kuwa na kimada
Mamndenyi amenuenuaa kwa ajili ya Vin Diesel hahaahah karibuni sana wapendwa wangu
hivi KakaKiiza ile inafanya kazi vizuri au nije na mpya jioni?
nitaanzaje kuaga huyu wangu anakaba mpaka koo ingekuwa angalau mchana ningemtoka saa 11 jioni nikurudi ntafungiwa nje kama jana hahahaahmie nipo vizuri...nina nachuro busta, mama kadogooo huwa anaitumia.
btw: tar 26 nahitaji kukuona, usianze visingizio.
nitaanzaje kuaga huyu wangu anakaba mpaka koo ingekuwa angalau mchana ningemtoka saa 11 jioni nikurudi ntafungiwa nje kama jana hahahaah
Mamndenyi amenuenuaa kwa ajili ya Vin Diesel hahaahah karibuni sana wapendwa wangu
hivi KakaKiiza ile inafanya kazi vizuri au nije na mpya jioni?