Dumbia Katia chuma mbili kwenye neti

Alipokuja Carlos carinhos alidate na wema sepetu alipokuja mayele alidate na Irene uwoya ,azizi ki na hamisa mobeto sasa huyu dumbia inabidi apewe TIFAH DANGOTE
 
Doumbia hajui pamoja na kufunga
Kufunga goli kwenye champion league siyo jambo dogo.
Huwezi kumbeza mtu wa aina hiyo.
Kumbuka Simba ina wachezaji wengi lakini kocha anapendelea kumpa nafasi yeye.
Huenda kuna kitu amekiona kwake ambacho hajakiona kwa akina Ismael Mgunda na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…