Duma tours ni matapeli?

siku hizi ukiambiwa issue yeyote inayohusisha pesa mbele kwanza stuka.kimbia mpaka uvunjike mguu
 
Pole sana kaka ni matapeli wasiofika mbali elfu kumi sio pesa ya kumtapeli mtu sasa wakikamatwa na wakafungwa kisa elfu kumi upuuz
Ila achana nao make ukitaka kuwafatilia ni gharama nyingne make uende polisi then uende tigo wakajaribu kumtrack kaz sana na muda unatumika so let it go
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…