daniel enocy
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 380
- 413
Ushapigwa braza.jamani Jana nilitumiwa e-mail kutoka duma tours kwa nahitajika juma mosi SAA tatu asubuhi arusha au dar kwenye ofisi zao lkn wakata elfu kumi kama uthibitisho wangu km nitaenda ili wawe na uhakika nikalipa via no 0659735483 baada ya hapo nitumiwe confirmation link lkn cjatumiwa nikipiga simu haipokelewi WA email haijibiwi
msaada plz
Acha zako kwamba sisi wanyalukolo washamba?haa haa haa! umeshatapeliwa wewe.. Kwani hapa mijini Dar es salaama una CHRISTMASS ngapi( Namaanisha umekuja DAR lini kutoka kwenu njombe?)
Pole mkuu ushaliwa aiseeJamani jana nilitumiwa e-mail kutoka Duma tours kuwa nahitajika jumamosi saa tatu asubuhi Arusha au Dar kwenye ofisi zao lakini wakata elfu kumi kama uthibitisho wangu kama nitaenda ili wawe na uhakika nikalipa via no 0659735483 baada ya hapo nitumiwe confirmation link. Chakusangaza sijatumiwa nikipiga simu haipokelewi wa email haijibiwi
msaada please
Jamani jana nilitumiwa e-mail kutoka Duma tours kuwa nahitajika jumamosi saa tatu asubuhi Arusha au Dar kwenye ofisi zao lakini wakata elfu kumi kama uthibitisho wangu kama nitaenda ili wawe na uhakika nikalipa via no 0659735483 baada ya hapo nitumiwe confirmation link. Chakusangaza sijatumiwa nikipiga simu haipokelewi wa email haijibiwi
msaada please