Duka la nafaka Dodoma Member Joined Aug 22, 2019 Posts 5 Reaction score 4 Aug 27, 2019 #1 Tunauza , Tunasambaza na kununua nafaka aina zote Tupo dodoma mjini Kwa maelezo zaidi piga 0756709338 Attachments 8B5CAC25-F188-4CC6-9CC6-E1904D23C7B1.jpeg 56.2 KB · Views: 21
Tunauza , Tunasambaza na kununua nafaka aina zote Tupo dodoma mjini Kwa maelezo zaidi piga 0756709338
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,518 Reaction score 6,524 Aug 27, 2019 #2 Duka la nafaka Dodoma said: Tunauza , Tunasambaza na kununua nafaka aina zote Tupo dodoma mjini Kwa maelezo zaidi piga 0756709338 Click to expand... Hilo duka lipo pale sokoni?
Duka la nafaka Dodoma said: Tunauza , Tunasambaza na kununua nafaka aina zote Tupo dodoma mjini Kwa maelezo zaidi piga 0756709338 Click to expand... Hilo duka lipo pale sokoni?
Duka la nafaka Dodoma Member Joined Aug 22, 2019 Posts 5 Reaction score 4 Aug 27, 2019 Thread starter #3 KWEZISHO said: Hilo duka lipo pale sokoni? Click to expand... Hapana lipo kisasa sheli pembeni ya neman lodge 2 Ukihitaji mzigo tunafanya delivery pia
KWEZISHO said: Hilo duka lipo pale sokoni? Click to expand... Hapana lipo kisasa sheli pembeni ya neman lodge 2 Ukihitaji mzigo tunafanya delivery pia
milionea wa kesho JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 328 Reaction score 633 Aug 27, 2019 #4 Nimevuna dengu kilo mia. Nikikuletea hadi dukani kwako utanipa sh. Ngapi?
Duka la nafaka Dodoma Member Joined Aug 22, 2019 Posts 5 Reaction score 4 Aug 27, 2019 Thread starter #5 milionea wa kesho said: Nimevuna dengu kilo mia. Nikikuletea hadi dukani kwako utanipa sh. Ngapi? Click to expand... Nicheki kwa namba 0759333149
milionea wa kesho said: Nimevuna dengu kilo mia. Nikikuletea hadi dukani kwako utanipa sh. Ngapi? Click to expand... Nicheki kwa namba 0759333149
Damidizzo JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 400 Reaction score 174 Aug 27, 2019 #6 Duka la nafaka Dodoma said: Tunauza , Tunasambaza na kununua nafaka aina zote Tupo dodoma mjini Kwa maelezo zaidi piga 0756709338 Click to expand... Weka bei ya manunuzi na mauzo kwa kila aina ya nafaka.
Duka la nafaka Dodoma said: Tunauza , Tunasambaza na kununua nafaka aina zote Tupo dodoma mjini Kwa maelezo zaidi piga 0756709338 Click to expand... Weka bei ya manunuzi na mauzo kwa kila aina ya nafaka.
Duka la nafaka Dodoma Member Joined Aug 22, 2019 Posts 5 Reaction score 4 Aug 27, 2019 Thread starter #7 Damidizzo said: Weka bei ya manunuzi na mauzo kwa kila aina ya nafaka. Click to expand... Nafaka zinabadilika bei kwa mahitaji kuuza au kununua tuwasiliane kwa namba 0759333149
Damidizzo said: Weka bei ya manunuzi na mauzo kwa kila aina ya nafaka. Click to expand... Nafaka zinabadilika bei kwa mahitaji kuuza au kununua tuwasiliane kwa namba 0759333149
Jimbi JF-Expert Member Joined Aug 16, 2010 Posts 4,604 Reaction score 5,195 Aug 28, 2019 #8 Duka la nafaka Dodoma said: Nafaka zinabadilika bei kwa mahitaji kuuza au kununua tuwasiliane kwa namba 0759333149 Click to expand... Kama hutaki kuweka bei, endelea kujiuzia mwenyewe tu.
Duka la nafaka Dodoma said: Nafaka zinabadilika bei kwa mahitaji kuuza au kununua tuwasiliane kwa namba 0759333149 Click to expand... Kama hutaki kuweka bei, endelea kujiuzia mwenyewe tu.