Duka la vifaa vya ujenzi linauzwa

Duka la vifaa vya ujenzi linauzwa

doriscynthia

Member
Joined
Jan 21, 2015
Posts
17
Reaction score
0
Wasiliana na 0763 362948
 

Attachments

  • 1424146811069.jpg
    1424146811069.jpg
    67.4 KB · Views: 383
  • 1424146840055.jpg
    1424146840055.jpg
    73.8 KB · Views: 324
  • 1424146893254.jpg
    1424146893254.jpg
    69.4 KB · Views: 276
  • 1424146932418.jpg
    1424146932418.jpg
    73.9 KB · Views: 276
  • 1424146962077.jpg
    1424146962077.jpg
    66.9 KB · Views: 290
Samahani mkuu kinachouzwa ni vifaa vya ujenzi vilivyomo dukani au unamanisha vilivyomo ndani pamoja na frame yenyewe.......??
 
Kuweka tangazo lisilo na maelezo ni upuuzi mtupu dada doriscynthia
 
Last edited by a moderator:
Thamani ya duka shilingi ngapi? Hiyo fremu unauza na kiwanja chake? Au unakodisha hiyo fremu? Fremu iko wapi? Biashara ya hivyo vifaa ikoje sehemu hiyo?
 
Fremu imekodishwa nalipa 150,000 kwa mwezi eneo mbezi beach Goigi inatazamana na jengo la Shamo house bei tutapiga hesabu jumla ya vitu vilivyopo kwa bei ya kununulia
 
Kwanini unaifunga? Isije kuwa unauza duka sababu hakuna wateja wa kutosha kwny eneo hilo???!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom