Ndo maana nakwambia unaweza kupata S8 fake maana wanaweka android..ila iPhone fake hawawezi kuweka iOS,maybe waweke androidZipo bro. Nilishawahi kuiona Iphone 5 fake. Kwa nje ni kama yenyewe, kwenye software haina tofauti ni tecko.
Imei naipataje mheshimiwa ?IMEI CHECK
kutuma IMEI # kwenda TCRA β15090β
ni njia rahisi kuthibitisha simu original.
Imei naipataje mheshimiwa ?
Kutuma imei kwenda tcra lazima simu iwe na salio ?*#06#
Ndo maana nakwambia unaweza kupata S8 fake maana wanaweka android..ila iPhone fake hawawezi kuweka iOS,maybe waweke android
IMEI CHECK
kutuma IMEI # kwenda TCRA β15090β
ni njia rahisi kuthibitisha simu original.[/
Habari mkuu naweza pata iPhone 6 Plus GB 16 kwa 550000.
Kwahiyo tigo fresh wahun wanaruka?naon umewek mpk tangazo.mm sili tigo bob.watej watakufuat pmEndelea ujasiri wa kwenye keyboard
0715591141 nipigie sim ujue kama mimi dem au men.....
Ova
Nshukuru kwa kunivunjia heshima inshalahKwahiyo tigo fresh wahun wanaruka?naon umewek mpk tangazo.mm sili tigo bob.watej watakufuat pm
Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app