Samsung_iphoneTz
Member
- Sep 5, 2018
- 6
- 6
Kumbe ndo ww unaouzia watu simu feki hapo makumbushoTunauza simu zifwatazo
I PHONE
i phone 5 : Tshs 350,000/=
i phone 5s: Tshs 450,000/=
i phone 6 (16 GB): Tshs 550,000/=
β (64 GB): Tshs 630,000/=
i phone 6 plus (16 GB) : 700,000/=
i phone 6 plus (64 GB) : 800,000/=
i phone 6s (16 GB) : 650,000/=
i phone 6s (64 GB) : 730,000/=
i phone 6s plus (16 GB) : 850,000/=
i phone 6s plus (64 GB) : 950,000/=
i phone 7 plus (128 GB) : 1,550,000/=
i phone 7 plus (32 GB) : 1,350,000/=
View attachment 859878
Location : MAKUMBUSHO
οΈ: 0746282234
Kumbe ndo ww unaouzia watu simu feki hapo makumbusho
Kwahy za kichina hazina imei ?Kabla ya kununua simu fanya imei # check, au tuma imei # tcra 15090.
Tumia akili mpuuzi ww hii biaahara ya MTU.. Kwani hakuna simu za China ambazo ni original au unapayuka tuu..Kwahy za kichina hazina imei ?
Unatakiwa kuweka tofauti ya cm za kichina na konki.
Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app
Kwahy za kichina hazina imei ?
Unatakiwa kuweka tofauti ya cm za kichina na konki.
Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app
Kuna mipumbv humu kazi yao kubwabwaja tuMakumbusho kuna zaidi ya maduka kumi ya simu, tunatoa warrant ya mwaka 1. Kama ulinunua kwetu hio s 5 yako weka warrant yetu hapa. If not ... acha kushinda kweny mitandao kuharibu biashara za watu FANYA KAZI.
Acha ushamba wewe..ushawahi kuona wapi iPhone fake??...iPhone lazima iwe na iOSKwahy za kichina hazina imei ?
Unatakiwa kuweka tofauti ya cm za kichina na konki.
Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app
Mbwa mama yako.swain ww.hapo makumbusho hakun sim n feki.Tumia akili mpuuzi ww hii biaahara ya MTU.. Kwani hakuna simu za China ambazo ni original au unapayuka tuu..
Ww mwanamk wa kirang mbona unapayuka xn?Kuna mipumbv humu kazi yao kubwabwaja tu
Aweke hyo warrant yke humu
Wengine kazi yao kuharibu biashara za watu tu!
Ova
Endelea ujasiri wa kwenye keyboard
Acha ushamba wewe..ushawahi kuona wapi iPhone fake??...iPhone lazima iwe na iOS
Kwaio china plaza haipo kariakoo?Mkuu tembea utashangaa na roho yako,juzi nilikuwa natafuta 6 plus,hamad nikakutana na 7 plus copy.aisee kama ndio umeshika iphone kwa mara ya kwanza unatoa hela.ajabu jamaa yuko serios,eti hiyo leta laki saba.nikamwambia nashukuru.
Muhimu ni kwenda kwa watu wanaoeleweka kama huyu mleta mada,au mcity.mwisho nikaenda kuchukua china plaza.kariakoo humo ndani wengi sio waaminifu,mbaya zaidi ukirudisha sound kibao.
Kwaio china plaza haipo kariakoo?
Zipo bro. Nilishawahi kuiona Iphone 5 fake. Kwa nje ni kama yenyewe, kwenye software haina tofauti ni tecko.Acha ushamba wewe..ushawahi kuona wapi iPhone fake??...iPhone lazima iwe na iOS