Mkuu,nenda kariakoo,mtoro,kuna maduka ya miwan mengi sana pale.Ulizia miwani inayopita waya pembeni,achana na hyo ya 2000,3000.
Hizo ndio za bei rahisi,lakini zina ubora unaofaa.Bei ni kati ya 5000-10000.Baada ya hapo,tafuta wanapotengeneza miwani ya macho,unapachika lenzi
Lenzi,kama alivyosema mdau inategemea na tatizo,lakini haitozidi 40000,kwa namba kubwa,mfano -0.6