Duka la dawa linauzwa lipo Tabata bima (new camp bar). Duka lipo katikati ya St Mary School na St Mary College.
Duka lina kila kitu na limekamika. Njoo tuzungumze. kwa mawsiliano zaidi 0767337400/ 0713337400.
Safi mkuu,hembu tupia bei yake hapa.
Halafu kwanini unauza au hasara kwenda mbele?
Pia tupe mchanganu wa uendeshaji wake ili kujua kama panalipa au pamelala doro
Safi mkuu,hembu tupia bei yake hapa.
Halafu kwanini unauza au hasara kwenda mbele?
Pia tupe mchanganu wa uendeshaji wake ili kujua kama panalipa au pamelala doro