usione soo sema nae
mmasai vipi?
duh kumbe haya mambo bado yapo!!
mmasai yupo na katu saiachani naye
huyu mkaka mpya namtanan kupindukia ila natafuta namna ya mwili wangu kuridhika bila ya kutembea naye
naomba mungu asinitongoze manake sjui ntaanzaanzaje kumkatalia
wala!!!!!!!!!Uwiiii hilo ni PEPO KEMEA...
arusha, baba mngoni, mama mchagga
.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila
kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa kumtongoza mwanaume ningeshafanaya hivyo
Ofisi yao imehamia kwenye jengo letu karibuni...siku ya kwanza nlikutana naye kwenye lift nkaamua kupandisha nione anaposhuka.Alinipa salam nkashindwa hata kuitika.
Kama nuksi tukakutana kafeteria baada ya siku mbili tukakaa meza mmoja nlikula kidogo tu manake alipoanza mazungumzo nilijiona akili inavyonihama nkajipigia simu mwenyewe nkapokea nkajifanya naitwa juu.
Kama vile ameshanishtukia manake leo asubuhi kanitania alikula sahani zote mbili.
Najiuliza
1.Atakapoomba namba ya simu itakuwaje (hivi kwa umri huu kumnyima mtu namba nitaeleweka wakati tupo jengo mmoja).......AKIIPATA NAMBA YANGU NIMEISHA NA KUANZIA LEO WAKATI WA KULA SIENDI NA SIMU
NB:jaman huyo kaka ni mzuri sio mweupe wala mweusi, ana lafudhi ya bara, sio mfupi sio mrefu, sio chembamba sio chibonge.
duh kumbe haya mambo bado yapo!!
anza kuwa rafiki nae kwanza....unaweza kuta sio wa hivyo unavyomdhania......ila kama ndio hivyo yupo.....why not bana....you live only once you know.......:wave:
Pepo la ngono linakutesa, amua moja kuwa na mmasai wako au huyo mrembo wa kiume. Inavyoonekana kampeni za Tulizana, Tuko wangapi ni misamiati mipya kwako.mmasai yupo na katu saiachani naye
huyu mkaka mpya namtanan kupindukia ila natafuta namna ya mwili wangu kuridhika bila ya kutembea naye
naomba mungu asinitongoze manake sjui ntaanzaanzaje kumkatalia
arusha, baba mngoni, mama mchagga
.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila
kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa kumtongoza mwanaume ningeshafanaya hivyo
Ofisi yao imehamia kwenye jengo letu karibuni...siku ya kwanza nlikutana naye kwenye lift nkaamua kupandisha nione anaposhuka.Alinipa salam nkashindwa hata kuitika.
Kama nuksi tukakutana kafeteria baada ya siku mbili tukakaa meza mmoja nlikula kidogo tu manake alipoanza mazungumzo nilijiona akili inavyonihama nkajipigia simu mwenyewe nkapokea nkajifanya naitwa juu.
Kama vile ameshanishtukia manake leo asubuhi kanitania alikula sahani zote mbili.
Najiuliza
1.Atakapoomba namba ya simu itakuwaje (hivi kwa umri huu kumnyima mtu namba nitaeleweka wakati tupo jengo mmoja).......AKIIPATA NAMBA YANGU NIMEISHA NA KUANZIA LEO WAKATI WA KULA SIENDI NA SIMU
NB:jaman huyo kaka ni mzuri sio mweupe wala mweusi, ana lafudhi ya bara, sio mfupi sio mrefu, sio chembamba sio chibonge.
Poole wewee poleee!!!Najiridhisha kuwa wewe siyo wife material.Kama unaniasi hata kabla ya pingu za maisha.Je ukiwa ndani ya ndoa itakuwajee.Huuuuuuuuuuufai tena nasema hufai,Itika kilichoko moyoni mwako.Mwisho wa siku utajuta kwann ulikuwa mwanamke..................:shut-mouth:
Do what your heart tells you to do!!!!!!
Inavyoonekana wewe nitofauti na wadada wenzako, bila shaka vichocheo vingi mwilini mwako ni vya kiume, na ndio maana ukatamani kulala hata na Preta japo usiku mmoja.wala!!!!!!!!!
ni uzuri tu wa huyu mkaka
mbona nyie mnatamanigi wadada wazuri???na mimi nina haki ya kutamani
mimi ni wife material saaaaaaaaaaana na tena sjawahi toka njee ila huyu ndugu yenu ni mzuri sana
nahisi kuchanganyikiwa ila naweka mikakati kuhakikisha namba yangu haipati manake akiipata tu NIMEISHA
NINA MCHUMBA NAMPENDA NA NAMWESHIMU sema tamaa ya mwili kwa huyu mkaka ndiyo nayopambana nayo