M mambomoto JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 326 Reaction score 238 Mar 19, 2014 #1 Habari za saa hizi wadau. Nimekutana na jambo linatotisha pale joka kubwa aina ya chatu likimmeza mamba baada ya vuta ni kuvute takriban masaa matano ya nani mbabe
Habari za saa hizi wadau. Nimekutana na jambo linatotisha pale joka kubwa aina ya chatu likimmeza mamba baada ya vuta ni kuvute takriban masaa matano ya nani mbabe
Qulfayaqul JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 480 Reaction score 84 Mar 19, 2014 #2 umekutana nalo au umeona katika Tv?
B Butundwe JF-Expert Member Joined Dec 27, 2013 Posts 303 Reaction score 52 Mar 19, 2014 #3 duh wapi hiyo?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Mar 19, 2014 #4 Naona .
M mambomoto JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 326 Reaction score 238 Mar 19, 2014 Thread starter #5 Qulfayaqul said: umekutana nalo au umeona katika Tv? Click to expand... Kwa hiyo kwako TV ndo kila kitu? acha ubwege
Qulfayaqul said: umekutana nalo au umeona katika Tv? Click to expand... Kwa hiyo kwako TV ndo kila kitu? acha ubwege
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Mar 19, 2014 #6 Hii BBC walikuwa wanaitangaza sana, Ila huyo nyoka ni noma,mamba na magamba yake anammeza mzima mzima
Hii BBC walikuwa wanaitangaza sana, Ila huyo nyoka ni noma,mamba na magamba yake anammeza mzima mzima