Duh jide bhaaaaaas,mwacheni anaconda



TUZO WANAZOPEWA WATOTO WA THT KWA MIAKA MITATU MFULULIZO,KWA UBORA WA NYIMBO NA UANDISHI MAKINI,WANASTAHILI??!!

JE Recho na Linah ni bora kuliko Mwasiti??!! Au kisa Mwasiti hagawi kipochi manyoya kwa miungu mtu ndio maana anapishana na tuzo??!!
 
TUZO WANAZOPEWA WATOTO WA THT KWA MIAKA MITATU MFULULIZO,KWA UBORA WA NYIMBO NA UANDISHI MAKINI,WANASTAHILI??!!

JE Recho na Linah ni bora kuliko Mwasiti??!! Au kisa Mwasiti hagawi kipochi manyoya kwa miungu mtu ndio maana anapishana na tuzo??!!


Ustaadh kipochi manyoya ndo nini?
 

YAANI MI SIJUI NISEME NINI SASA MANA WATASEMA NIMETUMWA NA RUGE HAO KILI WAMEJISHUSHIA HESHIMA SANA KAMA NDO HIVYO MTU HAJATOA WIMBO ATAKUWAJE MSANII BORA WA MWAKA KWA NYIMBO AMBAZO TARARI ALISHAPATA TUZO?MI KESHO NITAWAFUATA MAPAKA OFIZINI KWAO KUWAULIZA WANIPE UFAFANUZI SIWEZI ACHA HILI LIISHIE HIVI HIVI MPAKA ATAKAPOPEWA TUZO ANAYESTAHILI,uJINGA GANI HUU?
 

We kweli Phd, maelezo yamenyooka sana mkuu, waswahili husema short and clear. Ubora wa msanii unapaswa kuwa zaidi ya wanachofanya kwenye majukwaa yao ya kazi.

Labda nitoe mfano; Wema asingeweza kuwa mwigizaji bora wa kike pamoja na kwamba nasikia ameweza kumiliki kampuni ya filamu.

Jide anastahili tuzo hiyo hata kama alitoa wimbo wa mwisho 5 yrs back.
 
Reactions: PhD
jide hakupewa tuzo kwakuwa anastahili; ila busara ilitumika ili kumpunguzia stress.


Tangu apewe tuzo mwaka jana hakuna la maana alilofanya la kumuwezesha kupewa tuzo.
duuu! Umenifurahishsha sana nipm walau tuonane mahali nikupe walau kasoda au maji ya pongezi.hata mi nilikuwa na mawazo hayohayo.anatia huruma sana huyu dada wacha wampunguzie stress.kuiba mume wa mtu si mchezo mwenyewe anaumia anapomuona nae,na sauti yake ya kuigiza kama mtoto jide be yourself!
 

Wanataka awe anafyatua chewing gum kila mwezi ndo wamwone bora.
 

Mwenye mume kalalamika? Au ndo wewe! Taifa limepata hasarabya kiasi gani kwa huyo mume kuibwa? Namazingira ya kuibwa kwa mume huyo yalikuwaje? Walimvizia akiwa usingizini wakamtia kwenye gunia?
 
No one is perfect na siku zote ukweli una nguvu.

Hongera Jide, sio siri unafanya vizuri katika kazi zako. hayo mengine ni ubinadamu tu na yataisha.
 
Kweli we mgeni apa juzi,jide tuzo hajapat tuzo mwaka jana tu bali hat miaka iliyopita alikuwa anaburuza so tuzo ya jana sio kitu kipya kwake hata ss mashabiki

kweli kaka wewe unajua! Waambie hao vilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…