Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,895 Dec 23, 2011 Thread starter #21 Mbimbinho said: Avatar yako inaendana na hicho kiwiliwili mbona kama vinaendana..? au ndo self promo kwa wadada wa JF.. RORZ....:lol::lol::lol: Click to expand... umejuaje? au ndio yale mambo ya mbwa ukimjua jina hakusumbui?
Mbimbinho said: Avatar yako inaendana na hicho kiwiliwili mbona kama vinaendana..? au ndo self promo kwa wadada wa JF.. RORZ....:lol::lol::lol: Click to expand... umejuaje? au ndio yale mambo ya mbwa ukimjua jina hakusumbui?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,895 Dec 23, 2011 Thread starter #22 Globu said: Bujibuji nimeipenda hii. Haa haa haaaah. Click to expand... kama kawa, kama dawa
Nazjaz JF-Expert Member Jan 20, 2011 7,684 8,833 Dec 24, 2011 #23 jamani mnanichekesha, nilimiss sana mambo ya jamvini
P Prince edu Member Dec 16, 2011 78 0 Dec 24, 2011 #24 Mh! C ajab kwan amejilinda na ngoma coz dawa yake ni chupi la chuma!
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,244 4,258 Dec 24, 2011 #25 Muungwana Bujibuji. Mbona picha ya kufuli kubwa kama la jela haiendani na stori? Hata hivyo. huyo jamaa hawezi kufanya uharibifu mtaani. Keshathibitiwa na mkewwe ambaye anabaki na ufunguo.
Muungwana Bujibuji. Mbona picha ya kufuli kubwa kama la jela haiendani na stori? Hata hivyo. huyo jamaa hawezi kufanya uharibifu mtaani. Keshathibitiwa na mkewwe ambaye anabaki na ufunguo.