Jamani nachukia mtu akiact uzungu na hawezi kama huwezi kuiga uzungu acheni.
Mtu anaenda outing anaagiza saani nzima atazuga hapo weewe hadi ache chakula kimepowa.
Au juice akoroge hadi ashindwe kuinywa eti hey mbona juice zenu sio tamuu.
Yaani visa vya hapa na pale.
Hata kuoga anaoga masaa anaongea ongea kama hataki mpaka unamchoka unaaga.
Hao ndio wanapendwa akili ni zero ila kavaa powa simu za kuongwa nikila kitu at the end of kujishaua naye.
Umepoteza mengi .
So hawa watu wanajishaua acheni ishini kawaida .
Kwa wakakaa atAjishaua juice akiletewa analamba kama jamii ya mbwa.
Halafu chakula atakichunguza kama kina bacteria men .
Wengine sura mbaya weusi kama mkaa wa mama juma.
Wako yes no yes no kila kitu kakrem kama yahya sijui wapo wengi kiasi gank.
Sio dar tu hizi sampuli wapo.
Nope wapo kila mahali.
Kwakifupi mnakera watu.
Mtaishilia kubaya.

Nimesema wazungu sio waarabu .Siyo uzungu tu, unesemaje watu weusi wanaojifanya waarab kuvaa magunia kichwani na kupaka ndevu zao hina huku wakitembea na masime kiunoni? Ukimsalimia Kiswahili anakujibu kwa kiaarab, na hawa je? Wapo wengi sana hapa Tanzania.
HahahaNa wewe bomu nani amekuambia kuwa wazungu wapo hivyo nimekuambia wanakera maana wanact kama wazungu na hawawezi