DUCE kwawaka


na hapa ndipo alipokua akiidhinisha pesa zenu za ada kwenda kwa kwa Alhadaw
 
vijana endeleeni kupachimba, kamata salome, kamata kabigumila, funga kamba, vipi bumu mnalo? kama hamjapata endeleeni kupachimba hadi mpewe bumu na mlipiwe ada ku...a zao, kama pesa serikali haina ikamate magari ya lowasa, chenge, rostam, mramba, rizone karamagi na mafisadi wawili watatu wa ccm kisha yauzwe pesa walipiwe ada watoto wa maskini, wote hao tunajua wamezaliwa ktk familia za kikum.... leo ni mabilionea wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…