Ungejibu swali la msingi la awali. Anayepiga mabomu UAE ni nani? Kwasababu hata kipindi anashughulikiwa Hamas hakuwahi kulaumiwa Iran anayefadhili ushetaji.
Walishughulikiwa Hamas walipomaliza wakaja kudili na mfadhili wao. Sasa kwanini mnaanza kumtupia lawama USA as if yeye ndio anarusha kombora na drones huko?