The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,478
likely he is deadHaya yote ni kwa sababu ya mjinga mmoja anayeitwa Donald Trump na master wake netanyahu.
Inaudhi sana.Yaani watu hata hatujala ugali na nyanyantole zetu halafu huyu mwamba anatucheka?
Hili dingi sio kabisa
USA ndio anapiga mabomu huko Dubei?Haya yote ni kwa sababu ya mjinga mmoja anayeitwa Donald Trump na master wake netanyahu.
Wewe unaonaje?USA ndio anapiga mabomu huko Dubei?
Sasa utasemaje yeye ndio kasababisha?Wewe unaonaje?
Kinachoshangaza Muajemi anashambulia zaidi UAE kuliko anavyoshambulia Israel, kama alikuwa amewapania na sasa imepatikana excuse.Dubei ndio hivyo tena kwiiisha. Dubai is finished.
Wahamiaji matajiri expats wanaikimbia Dubei.
Nyumba simeshuka thamani 69%. Biashara haziendi.
Madereva teksi hasa kutoka Pakistani, India na Bangladesh nao wanataka kurudi nyumbani hamna biashara ni njaa.
Ukilinganisha na Dubei hawazalishi mafuta kwa wingi kwisha.
Iran imeamua kukomaa na UAE hasa Dubei kwa kuishambul8a na zile suicide drones zake.
Kuna wahamiaji Expat waingereza 280,000 akiwemo mlinzi wa zamani Manchester United Rio Ferdinand nao wanaikimbia nakusema hawatarudi tena.
Sijui na wale ndugu zetu waliopata ajira mpya 500 itakuwaje?
Wabeba box mtoni tulikuwa tunaringishiwa kwenye social media eti tunapambana na baridi wenyewe wanaenjoy sunshine kwenye maswimming pools na skyscrapers. Sasa rudi tujumuike wote kwenye baridi maamae.
Kwa maswali yako ni dalili tosha kwamba haulewi yanayoendelea huko M.E au umeamua tu kujitoa ufahamu. Maana mtu yeyote aliye sober anajua uhusiano wa huo uharibifu na bw trumpetSasa utasemaje yeye ndio kasababisha?
Wivu, anyway,yote miarabu, iuane tu, kuna na mwingine huku anawaita wajomba, wamnyunyizie tu naye atokomee huko firdaus.Kinachoshangaza Muajemi anashambulia zaidi UAE kuliko anavyoshambulia Israel, kama alikuwa amewaambia na sasa imepatikana excuse.
Ungejibu swali la msingi la awali. Anayepiga mabomu UAE ni nani? Kwasababu hata kipindi anashughulikiwa Hamas hakuwahi kulaumiwa Iran anayefadhili ushetaji.Kwa maswali yako ni dalili tosha kwamba haulewi yanayoendelea huko M.E au umeamua tu kujitoa ufahamu. Maana mtu yeyote aliye sober anajua uhusiano wa huo uharibifu na bw trumpet
Dua la kuku.Dubei ndio hivyo tena kwiiisha. Dubai is finished.
Wahamiaji matajiri expats wanaikimbia Dubei.
Nyumba zimeshuka thamani 69%. Biashara haziendi.
Madereva teksi hasa kutoka Pakistani, India na Bangladesh nao wanataka kurudi nyumbani hamna biashara ni njaa.
Ukilinganisha na Dubei hawazalishi mafuta kwa wingi kwisha.
Iran imeamua kukomaa na UAE hasa Dubei kwa kuishambulia na zile suicide drones zake.
Kuna wahamiaji Expat waingereza 280,000 akiwemo mlinzi wa zamani Manchester United Rio Ferdinand nao wanaikimbia nakusema hawatarudi tena.
Sijui na wale ndugu zetu waliopata ajira mpya 500 itakuwaje?
Wabeba box mtoni tulikuwa tunaringishiwa kwenye social media eti tunapambana na baridi wenyewe wanaenjoy sunshine kwenye maswimming pools na skyscrapers. Sasa rudini tujumuike wote kwenye baridi maamae.