Wakitokea huko papa au nyangumi wapo speed wanakimbizana kwisha habari hapo......luxury zipo kibao ila hiyo sifanyi hiyo pesa ya kuingia huko bora nikajenge darasa kijijini
Kuuridhisha mwili ni ngumu saaaaaana and hatotokea. Hii yote ni anasa tu za kutaka kustarehe beyond kawaida. Soon zitaanza daladala za kwenda mwezini kutembea.