Dubai ni moja kati ya taifa linaloendelea kwa kasi sana kwa sasa wameanza kushughulikia swala la ujenzi wa viwanja vya tenis chini ya bahari licha ya burudani ya utazamaji wa mchezo huo wa tennis chini ya maji mashabiki pia watajionea utalii wa ajabu huko chini ya bahari
Dubai ni moja kati ya taifa linaloendelea kwa kasi sana kwa sasa wameanza kushughulikia swala la ujenzi wa viwanja vya tenis chini ya bahariView attachment 255801 licha ya burudani ya utazamaji wa mchezo huo wa tennis chini ya maji mashabiki pia watajionea utalii wa ajabu huko chini ya bahariView attachment 255802

Bulldog umenichekesha nusura nimeze toothpick. Unanikumbusha mechi za mchangani enzi za mwalimu mkipigwa bao mnatoboa mpira game kwisha maana miaka ile mipira ilikuwa adimu saana.