Leo September 12 ni siku ambayo Apple ina launch device mpya. Katika hizo device imo pia Iphone Xs Max, ambayo itakuwa na na option ya double line kwa nchi ambazo hazi-support e-line techs.
Hii ni habari njema kwa watumiaji wa apple Asia na Africa kwa ujumla, ambapo tumezoea tumia line zaidi ya moja.